Isa ajaribiwa nyikani
1 Kisha Isa akaongozwa na Roho Mtakatifu wa Mungu hadi nyikani ili ajaribiwe na ibilisi. 2 Baada ya kufunga siku arobaini usiku na mchana, hatimaye akaona njaa.

+581 estão orando agora.
Junte-se à corrente de oração.