Isa afundisha na kuponya wagonjwa
23 Isa akazunguka Galilaya yote, akifundisha katika masinagogi4:23 Nyumba za ibada na mafunzo. yao, akihubiri Habari Njema za ufalme, na akiponya kila ugonjwa na kila aina ya maradhi miongoni mwa watu.