Pular para o conteúdo
Publicidade

Mathayo 4:4,7,10

ONMM Edição Palavra Aberta: Escrituras Sagradas

4 Lakini Isa akajibu, "Imeandikwa: ‘Mtu haishi kwa mkate tu, ila kwa kila neno litokalo katika kinywa cha Mungu.’ "

7 Isa akamjibu, "Pia imeandikwa: ‘Usimjaribu Mwenyezi Mungu, Mungu wako.’ "

10 Isa akamwambia, "Ondoka mbele yangu, Shetani! Kwa maana imeandikwa, ‘Mwabudu Mwenyezi Mungu, Mungu wako, na umtumikie yeye peke yake.’ "

Em outras traduções

  1. SRUV Swahili Revised Union Version

    4 Kum 8:3Naye akajibu akasema, Imeandikwa, Mtu hataishi kwa mkate tu, ila kwa kila neno litokalo katika kinywa cha Mungu.

    7 Kum 6:16Yesu akamwambia, Tena imeandikwa, Usimjaribu Bwana Mungu wako. 10 Kum 6:13Ndipo Yesu alipomwambia, Nenda zako, Shetani; kwa maana imeandikwa, Mwabudu Bwana Mungu wako, na umtumikie yeye peke yake.

  2. ONEN Versão Contemporânea Aberta em Suaíli

    4 Lakini Yesu akajibu, "Imeandikwa: ‘Mtu haishi kwa mkate tu, ila kwa kila neno litokalo katika kinywa cha Mungu.’ "

    7 Yesu akamjibu, "Pia imeandikwa: ‘Usimjaribu Bwana Mungu wako.’ "

    10 Yesu akamwambia, "Ondoka mbele yangu, Shetani! Kwa maana imeandikwa, ‘Mwabudu Bwana Mungu wako, na umtumikie yeye peke yake.’ "

Direitos das traduções citadas

Estes versículos te tocaram? Ore agora!

+581 estão orando agora.

Junte-se à corrente de oração.