Pular para o conteúdo
Publicidade

Mathayo 6

31 Kwa hiyo msiwe na wasiwasi, mkisema, Tutakula nini?au Tutakunywa nini?au Tutavaa nini?32 Watu wasiomjua Mungu ndio wanaoshindania hayo, lakini Baba yenu wa mbinguni anafahamu kuwa mnahitaji haya yote.

Veja também