Isa amponya mama mkwe wa Petro na pia watu wengi
14 Isa alipoingia nyumbani mwa Petro, alimkuta mama mkwe wa Petro amelala kitandani, akiwa ana homa. 15 Akamgusa mkono wake na homa ikamwacha, naye akainuka na kuanza kumhudumia.

+581 estão orando agora.
Junte-se à corrente de oração.