Pular para o conteúdo
Publicidade

Mathayo 8

2 Mtu mmoja mwenye ukoma akaja na kupiga magoti mbele yake, akasema, "Bwana8:2 Wale ambao hawakumfahamu Isa kuwa Masihi walimwita "Bwana" kwa heshima ya kawaida., ukitaka, unaweza kunitakasa."

3 Isa akanyoosha mkono wake akamgusa yule mtu, akamwambia, "Nataka. Takasika!" Mara yule mtu akatakasika ukoma wake. 4 Kisha Isa akamwambia, "Hakikisha humwambii mtu yeyote. Lakini nenda ukajioneshe kwa kuhani, na utoe sadaka aliyoamuru Musa, ili kuwa ushuhuda kwao."

Estes versículos te tocaram? Ore agora!

+581 estão orando agora.

Junte-se à corrente de oração.

Veja também