Watendakazi ni wachache
35 Isa akazunguka katika miji yote na vijiji vyote, akifundisha katika masinagogi9:35 Nyumba za ibada na mafunzo. yao, akihubiri Habari Njema za ufalme, na akiponya kila ugonjwa na kila aina ya maradhi.