Pular para o conteúdo
Publicidade

Nehemia 5:15

ONMM Edição Palavra Aberta: Escrituras Sagradas

15 Lakini watawala wa mwanzoni, wale walionitangulia, waliwalemea watu na kuchukua kutoka kwao shekeli arobaini za fedha5:15 Shekeli 40 za fedha ni sawa na gramu 456., pamoja na chakula na mvinyo. Wasaidizi wao pia walijifanya wakuu juu ya watu. Lakini kwa kumheshimu Mungu sikufanya hivyo.

Em outras traduções

  1. SRUV Swahili Revised Union Version

    15 2 Kor 11:9;Mwa 42:18;Ayu 31:23;Zab 112:1;Mit 16:6;Mhu 12:13,14;Lk 18:2-4Lakini watawala wa kwanza walionitangulia, wakawalemea watu, wakawatwalia chakula na mvinyo, zaidi ya shekeli arubaini za fedha; tena hata watumishi wao nao wakawatawala watu; lakini mimi sikufanya hivyo, kwa kuwa nilimcha Mungu.

  2. ONEN Versão Contemporânea Aberta em Suaíli

    15 Lakini watawala wa mwanzoni, wale walionitangulia, waliwalemea watu na kuchukua kutoka kwao shekeli arobaini za fedha,5:15 Shekeli 40 za fedha ni sawa na gramu 456. pamoja na chakula na mvinyo. Wasaidizi wao pia walijifanya wakuu juu ya watu. Lakini kwa kumheshimu Mungu sikufanya hivyo.

Direitos das traduções citadas

Estes versículos te tocaram? Ore agora!

+581 estão orando agora.

Junte-se à corrente de oração.