Pular para o conteúdo
Publicidade

Neemias 9

5 Nao Walawi Yeshua, Kadmieli, Bani, Hashabnea, Sherebia, Hodia, Shebania na Pethahia wakasema: "Simameni mkamsifu Mwenyezi Mungu, Mungu wenu, yeye ambaye ni Mungu tangu milele hata milele."

"Libarikiwe jina lake tukufu, litukuzwe juu ya baraka zote na sifa.

Veja também