24 " ‘ "Mwenyezi Mungu akubariki
na kukulinda;
25 Mwenyezi Mungu akuangazie nuru ya uso wake
na kukufadhili;
26 Mwenyezi Mungu akugeuzie uso wake
na kukupa amani." ’
24 " ‘ "Mwenyezi Mungu akubariki
na kukulinda;
25 Mwenyezi Mungu akuangazie nuru ya uso wake
na kukufadhili;
26 Mwenyezi Mungu akugeuzie uso wake
na kukupa amani." ’