7 Kwa wote walio Rumi wanaopendwa na Mungu na kuitwa kuwa watakatifu.
Neema na amani zinazotoka kwa Mungu, Baba1:7 Kwa mwanadamu, Mwenyezi Mungu ni Baba kupitia uhusiano unaopatikana katika kumtumaini Isa Al-Masihi. yetu, na kwa Bwana wetu Isa Al-Masihi ziwe nanyi.