8 Lakini andiko lasemaje? "Lile neno liko karibu nawe, liko kinywani mwako na moyoni mwako," yaani lile neno la imani tunalolihubiri. 9 Kwa sababu, ukikiri kwa kinywa chako kwamba "Isa ni Bwana," na kuamini moyoni mwako kwamba Mungu alimfufua kutoka kwa wafu, utaokoka.
Publicidade
Warumi 10:8,9
ONMM Edição Palavra Aberta: Escrituras Sagradas
Em outras traduções
- SRUV Swahili Revised Union Version
8 Kum 30:14Lakini yanenaje? Lile neno liko karibu nawe, katika kinywa chako, na katika moyo wako; yaani, ni lile neno la imani tulihubirilo. 9 2 Kor 4:5Kwa sababu, ukimkiri Yesu kwa kinywa chako ya kuwa ni Bwana, na kuamini moyoni mwako ya kuwa Mungu alimfufua katika wafu, utaokoka.
- ONEN Versão Contemporânea Aberta em Suaíli
8 Lakini andiko lasemaje? "Lile neno liko karibu nawe, liko kinywani mwako na moyoni mwako," yaani, lile neno la imani tunalolihubiri. 9 Kwa sababu kama ukikiri kwa kinywa chako kwamba "Yesu ni Bwana," na kuamini moyoni mwako kwamba Mungu alimfufua kutoka kwa wafu, utaokoka.
Direitos das traduções citadas
Estes versículos te tocaram? Ore agora!
+581 estão orando agora.
Junte-se à corrente de oração.