Pular para o conteúdo
Publicidade

Romanos 6

Kufa na kufufuka pamoja na Al-Masihi

1 Tuseme nini basi? Je, tuendelee kutenda dhambi ili neema ipate kuongezeka? 2 La hasha! Sisi tulioifia dhambi, tutawezaje kuendelea kuishi tena katika dhambi?

Veja também