Pular para o conteúdo
Publicidade

Romanos 8

35 Ni nani atakayetutenga na upendo wa Al-Masihi? Je, ni shida au taabu au mateso au njaa au uchi au hatari au upanga? 36 Kama ilivyoandikwa:

"Kwa ajili yako tunauawa mchana kutwa;

tumehesabiwa kama kondoo wa kuchinjwa."

37 Lakini katika mambo haya yote tu zaidi ya washindi kwa yeye aliyetupenda.

Veja também