Pular para o conteúdo
Publicidade

Ruthu 1

20 Akawaambia, "Msiniite tena Naomi1:20 maana yake Kupendeza, Kufurahisha; niiteni Mara1:20 maana yake Chungu, kwa sababu Mwenyezi1:20 Mwenyezi hapa ina maana ya Shaddai kwa Kiebrania pia ms 21. amenitendea mambo machungu sana. 21 Mimi niliondoka hali nimejaa, lakini Mwenyezi Mungu amenirudisha mtupu. Kwa nini kuniita Naomi? Mwenyezi Mungu amenitendea mambo machungu; Mwenyezi ameniletea msiba."

Veja também

Rute
Ver todos os capítulos de Rute