Pular para o conteúdo
Publicidade

Ruthu 1

3 Elimeleki mumewe Naomi akafa, hivyo Naomi akabaki na wanawe wawili. 4 Nao wakaoa wanawake Wamoabu, jina la mmoja aliitwa Orpa, na wa pili aliitwa Ruthu. Baada ya kuishi huko miaka kumi, 5 Maloni na Kilioni pia wakafa. Basi Naomi akabaki hana mume wala wanawe wawili.

Veja também

Rute
Ver todos os capítulos de Rute