Publicidade

Tiago 1

5 Kama mtu yeyote miongoni mwenu amepungukiwa na hekima, basi amwombe Mungu, yeye awapaye watu wote kwa ukarimu wala hana kinyongo, naye atapewa. 6 Lakini anapoomba, lazima aamini wala asiwe na shaka, kwa sababu mtu aliye na shaka ni kama wimbi la bahari, linalopeperushwa na upepo na kutupwa huku na huko. 7 Mtu kama huyo asidhani ya kuwa atapata kitu chochote kutoka kwa Bwana Isa. 8 Yeye ni mtu mwenye nia mbili, mwenye kusitasita katika njia zake zote.

Veja também

Bíblia Online Bíblia Online

Bíblia Online • Versão: 2026-07-05_19-25-13-