Pular para o conteúdo
Publicidade

1 Coríntios 15

22 Kwa kuwa kama katika Adamu wote wanakufa, kadhalika na katika Kristo wote watahuishwa. 23 1 The 4:16;Ufu 20:5Lakini kila mmoja mahali pake; limbuko ni Kristo; baadaye walio wake Kristo, atakapokuja. 24 Dan 2:44Hapo ndipo mwisho, atakapompa Mungu Baba ufalme wake; atakapobatilisha utawala wote, na mamlaka yote, na nguvu. 25 Zab 110:1;Mt 22:44Maana sharti amiliki yeye, hata awaweke adui zake wote chini ya miguu yake.

Veja também