15 1 Kor 12:27Je! Hamjui ya kuwa miili yenu ni viungo vya Kristo? Basi nivitwae viungo vya Kristo na kuvifanya viungo vya kahaba? La hasha! 16 Mwa 2:24Au hamjui ya kuwa yeye aliyeungwa na kahaba ni mwili mmoja naye? Maana asema, Wale wawili watakuwa mwili mmoja. 17 Yn 17:21,22;Efe 5:30;2 Kor 3:17Lakini yeye aliyeungwa na Bwana ni roho moja naye.
Publicidade