21 Rum 5:1;Ebr 4:16Wapenzi, mioyo yetu isipotuhukumu, tuna ujasiri kwa Mungu; 22 Mk 11:24na lolote tuombalo, tunalipokea kwake, kwa kuwa tunazishika amri zake, na kuyatenda yapendezayo machoni pake.