12 Hes 14:18;Neh 9:17;Ayu 4:16;Zab 86:15;145:8;Yak 5:11na baada ya tetemeko la nchi kukawa na moto; lakini BWANA hakuwamo katika moto ule; na baada ya moto sauti ndogo, ya utulivu. 13 Kut 3:6;Isa 6:2Ikawa, Eliya alipoisikia, alijifunika uso wake katika mavazi yake, akatoka, akasimama mlangoni mwa pango. Na tazama, sauti ikamjia, kusema, Unafanya nini hapa, Eliya?
Publicidade