5 1 Fal 9:2;2 Nya 1:3;Hes 12:6;Mt 1:20;2:23;Yn 15:7Na huko Gibeoni BWANA akamtokea Sulemani katika ndoto ya usiku; Mungu akamwambia, Omba utakalo nikupe.
15 Mwa 41:7;Yer 31:26;Mwa 31:54;40:20;1 Fal 8:65;Est 1:3;Dan 5:1;Mk 6:21Naye Sulemani akaamka, na kumbe! Ni ndoto. Akaenda Yerusalemu, akasimama mbele ya sanduku la Agano la BWANA, akatoa sadaka za kuteketezwa, akatoa na sadaka za amani; akawafanyia karamu watumishi wake wote.