Pular para o conteúdo
Publicidade

1 Samuel 17

45 2 Sam 22:33,35;2 Nya 32:8;Zab 124:8;125:1;Mit 18:10;2 Kor 10:4;Flp 4:13;Ebr 11:33,34Ndipo Daudi akamwambia yule Mfilisti, Wewe unanijia mimi na upanga, na fumo, na mkuki, bali mimi ninakujia wewe kwa jina la BWANA wa majeshi, Mungu wa majeshi ya Israeli uliowatukana. 46 Kum 28:26;Yos 4:24;1 Fal 8:43;18:36;2 Fal 19:19;Isa 52:10Siku hii ya leo BWANA atakuua mkononi mwangu, nami nitakupiga, na kukuondolea kichwa chako, nami leo nitawapa ndege wa angani na wanyama wa nchi mizoga ya majeshi ya Wafilisti, ili kwamba dunia nzima wajue ya kuwa yuko Mungu katika Israeli. 47 Zab 44:6,7;Hos 1:7;Zek 4:6;2 Nya 20:15Nao jamii ya watu wote pia wajue ya kwamba BWANA haokoi kwa upanga wala kwa mkuki; maana vita ni vya BWANA, naye atawatia ninyi mikononi mwetu.

Veja também