Mungu amtokea Samweli na kumfanya nabii
1 Zab 74:9;Amo 8:11Basi, mtoto Samweli akamtumikia BWANA mbele ya Eli. Na neno la BWANA lilikuwa adimu siku zile; hapakuwa na mafunuo dhahiri.