Huduma kwa waumini
1 Law 19:32Mzee usimkemee, bali umwonye kama baba; na wanaume vijana kama ndugu; 2 wanawake wazee kama mama; wanawake vijana kama ndugu wa kike; katika usafi wote.