17 Rum 12:8;Flp 2:29Wazee watawalao vema na wahesabiwe kustahili heshima maradufu; hasa wao wajitaabishao kwa kutoa unabii na kufundisha. 18 Kum 25:4;24:15;1 Kor 9:9;Mt 10:10;Lk 10:7Kwa maana andiko lasema, Usimfunge kinywa ng’ombe apurapo nafaka. Na tena, Mtenda kazi astahili ujira wake.
Publicidade