1 Mt 24:36Lakini, ndugu, kuhusu nyakati na majira, hamna haja niwaandikie. 2 Mt 24:42-44;Ufu 3:3;16:15;Lk 12:39;2 Pet 3:10Maana ninyi wenyewe mnajua hakika ya kuwa siku ya Bwana yaja kama vile mwizi ajavyo usiku. 3 Yer 6:14;Yn 16:21,22;Mt 24:39;Lk 21:34,35Wakati wasemapo, Kuna amani na salama, ndipo uharibifu uwajiapo kwa ghafla, kama vile uchungu umjiavyo mwenye mimba, wala hakika hawataokolewa.
Publicidade