24 Kum 25:3Kwa Wayahudi mara tano nilipata mapigo arubaini kasoro moja. 25 Mdo 16:22;14:19Mara tatu nilipigwa kwa bakora; mara moja nilipigwa kwa mawe; mara tatu nilivunjikiwa jahazi; kutwa kucha nimepata kukaa kilindini;