5 Gal 5:6,22;Yud 1:3Naam, na kwa sababu iyo hiyo jitahidini sana ili katika imani yenu mtie na wema, na katika wema wenu maarifa, 6 na katika maarifa yenu kiasi, na katika kiasi chenu subira, na katika subira yenu utauwa, 7 Gal 6:10na katika utauwa wenu upendano wa ndugu, na katika upendano wa ndugu, upendo.