Yosia atawala Yuda
1 1 Fal 13:2;1 Nya 3:14;2 Nya 34:1;Yer 1:2;Sef 1:1;Mt 1:10;Yos 15:39Yosia alikuwa na umri wa miaka minane alipoanza kutawala; akatawala miaka thelathini na mmoja katika Yerusalemu; na jina la mama yake aliitwa Yedida, binti Adaya wa Bozkathi.