Pular para o conteúdo
Publicidade

2 Samweli 12:13,14

SRUV Swahili Revised Union Version

13 1 Sam 15:24;2 Sam 24:10;Ayu 7:20;Zab 32:5;51:4;Mit 28:13;Zab 32:1;Mik 7:18;Zek 3:4Daudi akamwambia Nathani, Nimemfanyia BWANA dhambi. Nathani akamwambia Daudi, BWANA naye ameiondoa dhambi yako; hutakufa. 14 Isa 52:5;Eze 36:20;Rum 2:24Lakini, kwa kuwa kwa tendo hili umewapa adui za BWANA nafasi kubwa ya kukufuru, mtoto atakayezaliwa kwako hakika atakufa.

Em outras traduções

  1. ONMM Edição Palavra Aberta: Escrituras Sagradas

    13 Ndipo Daudi akamjibu Nathani, "Nimefanya dhambi dhidi ya Mwenyezi Mungu."

    Nathani akamjibu, "Mwenyezi Mungu amekuondolea dhambi yako. Hutakufa. 14 Lakini kwa sababu kwa kufanya hili umefanya adui za Mwenyezi Mungu kuonesha dharau kabisa, mwana atakayezaliwa kwako atakufa."

  2. ONEN Versão Contemporânea Aberta em Suaíli

    13 Ndipo Daudi akamjibu Nathani, "Nimefanya dhambi dhidi ya Bwana."

    Nathani akamjibu, "Bwana amekuondolea dhambi yako. Hutakufa. 14 Lakini kwa sababu kwa kufanya hili umefanya adui za Bwana kuonyesha dharau kabisa, mwana atakayezaliwa kwako atakufa."

Direitos das traduções citadas

Estes versículos te tocaram? Ore agora!

+581 estão orando agora.

Junte-se à corrente de oração.