6 Flp 2:17Kwa maana, mimi sasa namiminwa kama tambiko, na wakati wa kuondoka kwangu umefika.
Maagizo binafsi
9 2 Tim 1:4Jitahidi uwezavyo kuja kwangu upesi. 10 2 Kor 8:23;Gal 2:3;Kol 4:14;Tit 1:4;Flm 1:24Maana Dema aliniacha, akiupenda ulimwengu huu wa sasa, akasafiri kwenda Thesalonike; Kreske amekwenda Galatia; Tito amekwenda Dalmatia. 11 Mdo 12:12,25;13:13;15:37-39;Kol 4:10,14;Flm 1:24Luka peke yake yupo hapa pamoja nami. Umtwae Marko, umlete pamoja nawe, maana anifaa kwa utumishi. 13 Mdo 20:6Lile joho nililoliacha kwa Karpo huko Troa, ujapo ulilete, na vile vitabu, hasa vile vya ngozi. 16 2 Tim 1:15Katika utetezi wangu wa kwanza hakuna mtu aliyesimama upande wangu, bali wote waliniacha; naomba wasihesabiwe hatia kwa jambo hilo.