7 1 Kor 9:25;1 Tim 6:12;Flp 3:14Nimevipiga vita vilivyo vizuri, mwendo nimeumaliza, Imani nimeilinda; 8 2 Tim 2:5;Yn 1:22;1 Pet 5:4;Ufu 2:10baada ya hayo nimewekewa taji la haki, ambayo Bwana, mhukumu mwenye haki, atanipa siku ile; wala si mimi tu, bali na watu wote pia waliopenda kufunuliwa kwake.
Publicidade