12 Ufu 11:13;16:18;Isa 13:10;Yoe 2:10,31;3:15;Mt 24:29;Mk 13:24-25;Lk 21:25;Eze 32:7,8Nami nikaona, alipoufungua mhuri wa sita, palikuwa na tetemeko kuu la nchi; jua likawa jeusi kama gunia la singa, mwezi wote ukawa kama damu, 13 Isa 34:4;13:10na nyota zikaanguka juu ya nchi kama vile mtini upukutishavyo mapooza yake, utikiswapo na upepo mwingi.