Pular para o conteúdo
Publicidade

Matendo 8

5 Mdo 6:5Filipo akateremka akaingia katika mji wa Samaria, akawahubiria Kristo. 6 Na mkutano kwa nia moja wakasikiliza maneno yale yaliyosemwa na Filipo walipoyasikia na kuziona ishara alizokuwa akizifanya. 7 Mk 16:17Kwa maana pepo wachafu wakawatoka wengi waliopagawa nao, wakilia kwa sauti kuu; na watu wengi waliopooza, na viwete, wakaponywa. 8 Yn 4:40-42Ikawa furaha kubwa katika mji ule.

Veja também