Pular para o conteúdo
Publicidade

Resultados da busca por "paz"

40 resultados encontrados

  1. Hebreus 10

    Swahili Revised Union Version
    Capítulo 10
    Mostrando versículo 20 de 39

    20Ebr 9:8 njia ile aliyotuanzia iliyo mpya, iliyo hai, ipitayo katika pazia, yaani, mwili wake;

  2. Números 4

    Swahili Revised Union Version
    Capítulo 4
    Mostrando versículo 5 de 49

    5Kut 26:31;36:35;Law 16:2;2 Nya 3:14;Mt 27:51;Ebr 9:3;Kut 25:10,16 hapo watakapoanza safari, Haruni ataingia ndani, na wanawe, nao watalishusha pazia la sitara, na kulifunika sanduku la ushahidi4:5 Kut 25:16: Kisha tia ndani ya sanduku huo ushuhuda nitakaokupa. kwa hilo pazia;

  3. Marcos 15

    Swahili Revised Union Version
    Capítulo 15
    Mostrando versículo 34 de 47

    34Zab 22:1 Na saa tisa Yesu akapaza sauti yake kwa nguvu, Eloi, Eloi, lama sabakthani? Maana yake, Mungu wangu, Mungu wangu, mbona umeniacha?

  4. Lucas 23

    Swahili Revised Union Version
    Capítulo 23
    Mostrando versículo 45 de 56

    45Kut 26:31-33;36:35;Amo 9:1 jua limepungua nuru yake; pazia la hekalu likapasuka katikati.

  5. Números 3

    Swahili Revised Union Version
    Capítulo 3
    Mostrando versículo 25 de 51

    25Hes 4:24-26;1 Nya 9:14-33;Ezr 8:28-30;Kut 25:9;26:1-36 Na kazi ya Wageruhoni katika hema ya kukutania ni hiyo ya kuhudumu katika maskani, Hema na kifuniko chake, na pazia la mlango wa hema ya kukutania,

  6. Mateus 27

    Swahili Revised Union Version
    Capítulo 27
    Mostrando versículo 46 de 66

    46Zab 22:2 Na kama saa tisa, Yesu akapaza sauti yake kwa nguvu akisema, Eloi, Eloi, lama sabakthani? Yaani, Mungu wangu, Mungu wangu, mbona umeniacha?

  7. Isaías 54

    Swahili Revised Union Version
    Capítulo 54
    Mostrando versículo 1 de 17

    1Gal 4:27 Imba, wewe uliye tasa, wewe usiyezaa; paza sauti yako kwa kuimba, piga kelele, wewe usiyekuwa na uchungu; maana watoto wake aliyeachwa ni wengi kuliko watoto wake yeye aliyeolewa, asema BWANA.

  8. Êxodo 36

    Swahili Revised Union Version
    Capítulo 36
    Mostrando versículo 8 de 38

    8Kut 26:1;Ayu 32:8;Mit 10:8;15:14;21:1;Mwa 3:24;1 Fal 6:23;2 Nya 3:10;Eze 1:5-28;10:1 Basi kila mtu mwenye moyo wa hekima miongoni mwa hao waliofanya kazi, akaifanya hiyo maskani ya mapazia kumi; ya nguo ya kitani nzuri ya kusokotwa, na nyuzi za rangi ya buluu, zambarau na nyekundu; pamoja na makerubi, kazi ya fundi stadi; ndivyo alivyoyafanya.

  9. Levítico 16

    Swahili Revised Union Version
    Capítulo 16
    Mostrando versículo 2 de 34

    2Ebr 6:19;Kut 30:10;Law 23:27,28;Ebr 9:7;10:19;Kut 25:22;40:34;1 Fal 8:10-12 BWANA akamwambia Musa, Mwambie Haruni ndugu yako, kwamba asiingie wakati wowote katika mahali patakatifu ndani ya pazia, mbele ya kiti cha rehema, kilicho juu ya sanduku, asije akafa; maana, mimi nitaonekana katika lile wingu juu ya kiti cha rehema.

  10. Hebreus 9

    Swahili Revised Union Version
    Capítulo 9
    Mostrando versículo 3 de 28

    3Kut 26:31-33 Na nyuma ya pazia la pili, ile hema iitwayo Patakatifu pa patakatifu,

  11. Números 18

    Swahili Revised Union Version
    Capítulo 18
    Mostrando versículo 7 de 32

    7Ebr 9:3,6;1 Sam 6:19 Nawe na wanao pamoja nawe mtautunza ukuhani wenu, kwa ajili ya kila kitu cha madhabahu, na kwa ajili ya vile vilivyomo ndani ya pazia, nanyi mtatumika. Nawapeni ukuhani kuwa utumishi wa kipawa; na mgeni akaribiaye atauawa.

  12. Isaías 58

    Swahili Revised Union Version
    Capítulo 58
    Mostrando versículo 1 de 14

    1Piga kelele, usiache,Paza sauti yako kama tarumbeta;Uwahubirie watu wangu kosa lao,Na nyumba ya Yakobo dhambi zao.

  13. Êxodo 35

    Swahili Revised Union Version
    Capítulo 35
    Mostrando versículo 12 de 35

    12Kut 25:10 hilo sanduku, miti yake, hicho kiti cha rehema na lile pazia la sitara;

  14. Levítico 4

    Swahili Revised Union Version
    Capítulo 4
    Mostrando versículo 6 de 35

    6Isa 42:21;Yn 8:29;Rum 3:24;2 Kor 5:19;Efe 2:13;Ufu 5:9 kisha kuhani atatia kidole chake katika hiyo damu na kuinyunyiza damu mbele ya BWANA mara saba, mbele ya pazia la mahali patakatifu.

  15. Isaías 44

    Swahili Revised Union Version
    Capítulo 44
    Mostrando versículo 23 de 28

    23Zab 69:34;Isa 42:10;Ufu 18:20 Imbeni, enyi mbingu, maana BWANA ametenda hayo;Pigeni kelele, enyi mabonde ya nchi;Pazeni nyimbo, enyi milima;Nawe, msitu, na kila mti ndani yake.Maana BWANA amemkomboa Yakobo,Naye atajitukuza katika Israeli.

  16. Êxodo 27

    Swahili Revised Union Version
    Capítulo 27
    Mostrando versículo 21 de 21

    21Kut 25:16;Kut 30:8;1 Sam 3:3;2 Nya 13:11;Kut 28:43;29:9;Law 3:17;16:34 Ndani ya ile hema ya kukutania, nje ya hilo pazia, lililo mbele ya huo ushuhuda, Haruni na wanawe wataitengeza tangu jioni hadi asubuhi mbele ya BWANA; itakuwa ni amri ya milele katika vizazi vyao vyote kwa ajili ya wana wa Israeli.

  17. Isaías 49

    Swahili Revised Union Version
    Capítulo 49
    Mostrando versículo 13 de 26

    13Imbeni, enyi mbingu; ufurahi, Ee nchi;Pazeni sauti ya kuimba, enyi milima;Kwa kuwa BWANA amewafariji watu wake,Naye atawahurumia watu wake walioteswa.

  18. Êxodo 39

    Swahili Revised Union Version
    Capítulo 39
    Mostrando versículo 34 de 43

    34na kifuniko chake cha ngozi za kondoo dume zilizotiwa rangi nyekundu, na kifuniko cha ngozi za pomboo, na pazia la sitara;

  19. Êxodo 38

    Swahili Revised Union Version
    Capítulo 38
    Mostrando versículo 18 de 31

    182 Nya 3:14 Na hilo pazia la lango la ua, lilikuwa ni kazi ya mwenye kutia taraza, lilikuwa la nyuzi za rangi ya buluu, zambarau na nyekundu, na kitani nzuri ya kusokotwa; lilikuwa na urefu wa dhiraa ishirini, na kutukuka kwake katika huo upana wake kulikuwa dhiraa tano, kupatana na ile chandarua ya ua.

  20. Êxodo 30

    Swahili Revised Union Version
    Capítulo 30
    Mostrando versículo 6 de 38

    6Nawe utaitia mbele ya lile pazia lililo karibu na sanduku la ushuhuda mbele ya kiti cha rehema kilicho juu ya ushuhuda, hapo nitakapokutana nawe.

Léxico (correspondência exata) Semântico (correspondência relacionada) Versículos omitidos Contexto do capítulo