1Mdo 19:29;Rum 16:23;1 Kor 1:14;2 Yoh 1:1 Mzee, kwa Gayo mpenzi, nimpendaye katika kweli.
111 Yoh 3:6,9 Mpenzi, usiuige ubaya, bali uige wema. Yeye atendaye mema ni wa Mungu, bali yeye atendaye mabaya hakumwona Mungu.
15Amani kwako. Rafiki zetu wakusalimu. Wasalimu hao rafiki zetu, kila mtu kwa jina lake.