1Yn 4:14;7:37;1 Kor 1:22;Mt 13:44;Ufu 21:6;3:18;22:17 Haya, kila aonaye kiu, njoni majini,Naye asiye na fedha; njoni, nunueni mle;Naam, njoni, nunueni divai na maziwa,Bila fedha na bila gharama.
Resultados da busca por "fé"
107 resultados encontrados
- Capítulo 55
Isaías 55
Swahili Revised Union VersionMostrando versículo 1 de 13 - Capítulo 3
Ester 3
Swahili Revised Union VersionMostrando versículo 9 de 159Basi, mfalme akiona vema, na iandikwe kwamba waangamizwe; nami nitalipa talanta elfu kumi za fedha mikononi mwa watakaosimamia shughuli hiyo, waziweke katika hazina ya mfalme.
- Capítulo 7
Esdras 7
Swahili Revised Union VersionMostrando versículo 15 de 28152 Nya 6:2;Zab 135:21 na kuichukua fedha na dhahabu, ambayo mfalme, na washauri wake, kwa hiari yao, wamemtolea Mungu wa Israeli, akaaye Yerusalemu;
- Capítulo 19
Lucas 19
Swahili Revised Union VersionMostrando versículo 10 de 4810Mt 18:11;Eze 34:16;Yn 3:17;Lk 5:32;1 Tim 1:15 Kwa kuwa Mwana wa Adamu alikuja kutafuta na kuokoa kile kilichopotea.
- Capítulo 8
Amós 8
Swahili Revised Union VersionMostrando versículo 6 de 146tupate kuwanunua maskini kwa fedha, na wahitaji kwa jozi ya viatu; na kuziuza takataka za ngano.
- Capítulo 7
Josué 7
Swahili Revised Union VersionMostrando versículo 21 de 2621Kut 20:17;1 Fal 21:1;2 Fal 5:20-27;Mit 15:27;Hab 2:9;Lk 12:15;Rum 7:7,8;Efe 5:5;1 Tim 6:10 Nilipoona katika nyara joho zuri ya Babeli, na shekeli mia mbili za fedha, na kabari ya dhahabu, uzani wake shekeli hamsini, basi nilivitamani nikavitwaa; tazama, vimefichwa mchangani katikati ya hema yangu, na ile fedha chini yake.
- Capítulo 23
Gênesis 23
Swahili Revised Union VersionMostrando versículo 15 de 2015Kut 30:13;Eze 45:12 Bwana wangu, unisikilize. Sehemu ya nchi, ambayo thamani yake ni shekeli za fedha mia nne, ni nini hii baina yako na yangu? Basi uzike maiti wako.
- Capítulo 26
Atos 26
Swahili Revised Union VersionMostrando versículo 18 de 3218Kum 33:3;Isa 35:5;42:7,16;Mdo 20:32;Efe 2:2;Kol 1:13 uwafumbue macho yao, na kuwageuza waiache giza na kuielekea nuru, waziache na nguvu za Shetani na kumwelekea Mungu; kisha wapate msamaha wa dhambi zao, na urithi miongoni mwao waliotakaswa kwa imani iliyo kwangu mimi.
- Capítulo 38
Êxodo 38
Swahili Revised Union VersionMostrando versículo 10 de 3110nguzo zake zilikuwa ishirini, na vitako vyake vilikuwa ishirini, vilikuwa vya shaba; kulabu za nguzo na vitanzi vyake vilikuwa vya fedha.
- Capítulo 1
Cânticos 1
Swahili Revised Union VersionMostrando versículo 4 de 174Yer 31:3;Hos 11:4;Yn 6:44;Flp 3:12;Zab 45:14;Yn 14:2;Efe 2:6 Nivute nyuma yako, na tukimbie;Mfalme ameniingiza vyumbani mwake.Tutafurahi na kukushangilia;Tutalinena pendo lako kuliko divai;Ndiyo, ina haki wakupende.
- Capítulo 13
Provérbios 13
Swahili Revised Union VersionMostrando versículo 18 de 2518Mit 15:5 Umaskini na fedheha zitampata yeye akataaye kurudiwa;Bali yeye aangaliaye maonyo ataheshimiwa.
- Capítulo 109
Salmos 109
Swahili Revised Union VersionMostrando versículo 29 de 3129Washitaki wangu watavikwa fedheha,Na wavikwe aibu yao kama joho.
- Capítulo 1
2 Crônicas 1
Swahili Revised Union VersionMostrando versículo 12 de 1712Zab 34:9,10;Mt 6:33;Efe 3:20;1 Nya 29:25;2 Nya 9:22;Mhu 2:9 basi hekima na maarifa umepewa; nami nitakupa mali, na utajiri, na utukufu, kupita walivyokuwa navyo wafalme wote waliokuwa kabla yako, wala baada yako hapatakuwa na mtu atakayekuwa navyo.
- Capítulo 3
Jó 3
Swahili Revised Union VersionMostrando versículo 15 de 2615Au pamoja na wakuu wenye dhahabu,Waliozijaza nyumba zao fedha;
- Capítulo 29
1 Crônicas 29
Swahili Revised Union VersionMostrando versículo 2 de 302Kut 28:9;Isa 54:11,12;Ufu 21:18 Basi kwa uwezo wangu wote nimeiwekea akiba nyumba ya Mungu wangu, dhahabu kwa vitu vya dhahabu, na fedha kwa vitu vya fedha, na shaba kwa vitu vya shaba, na chuma kwa vitu vya chuma, na miti kwa vitu vya miti; vito vya shohamu, na vya kujazia, vito vya njumu, na vya rangi mbalimbali, na mawe ya thamani ya kila namna, na marumaru tele.
- Capítulo 10
Eclesiastes 10
Swahili Revised Union VersionMostrando versículo 19 de 2019Karamu hufanywa kwa ajili ya kicheko,Na divai huyafurahisha maisha; Na fedha huleta jawabu la mambo yote.
- Capítulo 13
Oséias 13
Swahili Revised Union VersionMostrando versículo 2 de 162Na sasa wanazidi kufanya dhambi, nao wamejifanyia sanamu kwa fedha yao, naam, sanamu kwa kadiri ya akili zao; zote pia ni kazi ya mafundi; nao huzitaja hivi, Wanaume watoao dhabihu na wazibusu ndama.
- Capítulo 5
2 Reis 5
Swahili Revised Union VersionMostrando versículo 5 de 2751 Sam 9:8;2 Fal 8:8,9 Mfalme wa Shamu akasema, Haya! Basi, mimi nitampelekea mfalme wa Israeli waraka. Basi akaenda zake, akachukua mikononi mwake talanta kumi za fedha, na vipande vya dhahabu elfu sita, na mavazi kumi.
- Capítulo 6
Zacarias 6
Swahili Revised Union VersionMostrando versículo 11 de 1511Kut 28:36 naam, pokea fedha na dhahabu, ukatengeneze taji, ukamvike kichwani Yoshua, mwana wa Yehosadaki, kuhani mkuu;
- Capítulo 8
Esdras 8
Swahili Revised Union VersionMostrando versículo 13 de 3613Na wa wana wa Adonikamu, hawa waliokuwa wa mwisho, na hayo ndiyo majina yao, Elifeleti, na Yeueli, na Shemaya; na pamoja nao wanaume sitini.