1Efe 6:5;Tit 2:9,10 Wote walio chini ya nira ya utumwa, wawachukulie bwana zao kama wanaostahili heshima yote, ili jina la Mungu na mafundisho yetu yasitukanwe.
Resultados da busca por "fé"
107 resultados encontrados
- Capítulo 6
1 Timóteo 6
Swahili Revised Union VersionMostrando versículo 1 de 21 - Capítulo 16
Êxodo 16
Swahili Revised Union VersionMostrando versículo 36 de 3636Hiyo omeri ni sehemu kumi ya efa.
- Capítulo 4
2 Timóteo 4
Swahili Revised Union VersionMostrando versículo 5 de 2252 Tim 2:3;Efe 4:11 Bali wewe, uwe mwenye kiasi katika mambo yote, vumilia mabaya, fanya kazi ya mhubiri wa Injili, timiza huduma yako kwa ukamilifu.
- Capítulo 45
Ezequiel 45
Swahili Revised Union VersionMostrando versículo 15 de 2515Law 1:4;Rum 5:10;2 Kor 5:18,19;Efe 2:16;Kol 1:21;Tit 2:14 na mwana-kondoo mmoja wa kundi katika mia mbili, katika malisho ya Israeli yenye maji; kwa sadaka ya unga, na kwa sadaka ya kuteketezwa, na kwa sadaka za amani, ili kuwafanyia upatanisho, asema Bwana MUNGU.
- Capítulo 13
Números 13
Swahili Revised Union VersionMostrando versículos 6–14 de 336Hes 14:6,30;26:65;34:19;Yos 14:6 Katika kabila la Yuda, Kalebu mwana wa Yefune.
8Katika kabila la Efraimu, Hoshea mwana wa Nuni
14Katika kabila la Naftali, Nabi mwana wa Wofsi.
- Capítulo 20
Êxodo 20
Swahili Revised Union VersionMostrando versículo 12 de 2612Kum 5:16;27:16;Yer 35:7,8;Mt 15:4;19:19;Mk 7:10;10:19;Lk 18:20;Efe 6:2-3;Law 19:3 Waheshimu baba yako na mama yako; siku zako zipate kuwa nyingi katika nchi upewayo na BWANA, Mungu wako.
- Capítulo 25
Deuteronômio 25
Swahili Revised Union VersionMostrando versículos 4–13 de 1941 Kor 9:9;1 Tim 5:18;Mit 12:10 Ng’ombe apurapo nafaka usimfunge kinywa.
12Kum 19:13 umkate ule mkono wake, lisiwe na huruma jicho lako.
13Law 19:35-36;Mit 11:1;20:23;Eze 45:10;Amo 8:5;Mik 6:11 Usiwe na mawe ya kupimia mbalimbali, kubwa na dogo, katika mfuko wako.
- Capítulo 24
Atos 24
Swahili Revised Union VersionMostrando versículo 2 de 272Naye alipoitwa, Tertulo akaanza kumshitaki, akisema, Kwa kuwa mnapata amani nyingi chini yako, Feliki mtukufu, na kwa uongozi wako mambo mabaya yanasuluhishwa kwa ajili ya taifa hili,
- Capítulo 3
Provérbios 3
Swahili Revised Union VersionMostrando versículo 14 de 3514Ayu 28:13;Mit 2:4;8:11,19 Maana biashara yake ni bora kuliko biashara ya fedha,Na faida yake ni nyingi kuliko dhahabu safi.
- Capítulo 22
Provérbios 22
Swahili Revised Union VersionMostrando versículo 1 de 291Heri kuchagua jina jema kuliko mali nyingi;Na neema kuliko fedha na dhahabu.
- Capítulo 28
Jó 28
Swahili Revised Union VersionMostrando versículo 1 de 281Hakika kuna shimo wachimbako fedha,Na mahali wapatapo dhahabu waisafishayo.
- Capítulo 25
Atos 25
Swahili Revised Union VersionMostrando versículo 1 de 271Festo alipokwisha kuingia katika mkoa, baada ya siku tatu akapanda kwenda Yerusalemu kutoka Kaisaria.
- Capítulo 61
Isaías 61
Swahili Revised Union VersionMostrando versículo 5 de 115Efe 2:12 Na wageni watasimama na kulisha makundi yenu, na watu wa kabila nyingine watakuwa wakulima wenu, na watunzaji wa mizabibu yenu.
- Capítulo 83
Salmos 83
Swahili Revised Union VersionMostrando versículo 16 de 1816Uzijaze nyuso zao fedheha;Ili wapate kulitafuta jina lako, Ee BWANA.
- Capítulo 50
Isaías 50
Swahili Revised Union VersionMostrando versículo 6 de 116Mt 26:67;5:39;Omb 3:30;Mik 5:1;Mk 14:65 Niliwatolea wapigao mgongo wangu, na wang’oao ndevu mashavu yangu; sikuficha uso wangu usipate fedheha na kutemewa mate.
- Capítulo 44
Salmos 44
Swahili Revised Union VersionMostrando versículo 9 de 269Lakini umetutupa, umetufedhehesha,Wala huendi na majeshi yetu.
- Capítulo 3
Filipenses 3
Swahili Revised Union VersionMostrando versículo 19 de 2119Rum 16:18 mwisho wao ni uharibifu, mungu wao ni tumbo, utukufu wao uko katika fedheha yao, waniao mambo ya duniani.
- Capítulo 3
Sofonias 3
Swahili Revised Union VersionMostrando versículo 18 de 2018Omb 2:6 Nitawakusanya wanaousikitikia mkutano wa ibada, hao waliokuwa wa kwako; ambao mzigo uliokuwa juu yake ulikuwa fedheha kwao.
- Capítulo 23
Jeremias 23
Swahili Revised Union VersionMostrando versículo 40 de 4040Yer 20:11;Dan 9:16 nami nitaleta juu yenu aibu ya milele, na fedheha ya daima, ambayo haitasahauliwa.
- Capítulo 17
Juízes 17
Swahili Revised Union VersionMostrando versículo 2 de 132Mwa 14:19;Rut 2:20;3:10;2 Sam 2:5 Naye akamwambia mama yake, Hizo fedha elfu na mia moja ulizoibiwa, na kuweka laana kwa ajili yake na kusema masikioni mwangu, tazama, ninazo mimi hizo fedha; ni mimi niliyezitwaa. Mama yake akasema, Mwanangu na abarikiwe na BWANA.