5Gal 2:14 Lawama ya wazi ni heri,Kuliko upendo uliositirika.
9Marhamu na manukato huufurahisha moyo;Kadhalika utamu wa rafiki ya mtu utokao katika kusudi la moyo wake.
17Chuma hunoa chuma;Ndivyo mtu aunoavyo uso wa rafiki yake.
16 resultados encontrados
5Gal 2:14 Lawama ya wazi ni heri,Kuliko upendo uliositirika.
9Marhamu na manukato huufurahisha moyo;Kadhalika utamu wa rafiki ya mtu utokao katika kusudi la moyo wake.
17Chuma hunoa chuma;Ndivyo mtu aunoavyo uso wa rafiki yake.
11Uweza una yeye hata milele na milele. Amina.
13Mdo 12:12,25;13:13;15:37-39;Kol 4:10;Flm 1:24;2 Tim 4:11 Mwenzenu mteule hapa Babeli awasalimu, na Marko mwanangu.
141 Kor 16:20 Salimianeni kwa busu la upendo.Amani na iwe kwenu nyote, mlio katika Kristo. Amina.
91 Pet 1:22;1 Tim 1:5;Amo 5:15 Pendo na lisiwe na unafiki lichukieni lililo ovu, mkilishika lililo jema.
102 Pet 1:7;Flp 2:3 Kwa pendo la udugu, mpendane ninyi kwa ninyi; kwa heshima mkiwatanguliza wenzenu;
17Isa 5:21;1 The 5:15 Msimlipe mtu ovu kwa ovu. Angalieni yaliyo mema machoni pa watu wote.
1Yn 13:34;2 Pet 1:7 Upendano wa ndugu na udumu.
21awafanye ninyi kuwa wakamilifu katika kila tendo jema, mpate kuyafanya mapenzi yake, naye akifanya ndani yetu lipendezalo mbele zake, kwa Yesu Kristo; utukufu una yeye milele na milele. Amina.
25Neema na iwe nanyi nyote.
2Kubusu na anibusu kwa kinywa chake.Maana pendo lako lapita divai;
13Mpendwa wangu ni kama mfuko wa manemaneUkilazwa usiku maziwani mwangu.
14Mpendwa wangu ni kama kishada cha hina,Katika mizabibu huko Engedi.
8Gal 5:14;1 Tim 1:5 Msiwiwe na mtu chochote, isipokuwa kupendana; kwa maana ampendaye mwenzake ameitimiza sheria.
9Kut 20:13-15,17;Kum 5:17-19,21;Law 19:18 Maana kule kusema, Usizini, Usiue, Usiibe, Usitamani; na ikiwapo amri nyingine yoyote, inajumlishwa katika neno hili, ya kwamba, Mpende jirani yako kama nafsi yako.
101 Kor 13:4;Mt 22:40 Pendo halimfanyii jirani neno baya; basi pendo ndilo utimilifu wa sheria.
4Mit 30:14;Zab 64:3 Nafsi yangu i kati ya simba,Nitastarehe kati yao waliowaka moto.Wanadamu meno yao ni mikuki na mishale,Na ndimi zao ni upanga mkali.
7Zab 108:1 Ee Mungu, moyo wangu ni thabiti,Moyo wangu ni thabiti.Nitaimba, nitaimba kwa sauti nzuri,
8Amu 5:12 Amka, ee moyo wangu.Amka, kinanda na kinubi,Nitaamka alfajiri.
2Mt 6:33 Yafikirini yaliyo juu, siyo yaliyo katika nchi.
14Rum 13:8,10;Efe 4:3 Zaidi ya hayo yote jivikeni upendo, ndio kifungo cha ukamilifu.
19Efe 5:25;1 Pet 3:7 Ninyi waume, wapendeni wake zenu msiwe na uchungu nao.
1Mdo 19:29;Rum 16:23;1 Kor 1:14;2 Yoh 1:1 Mzee, kwa Gayo mpenzi, nimpendaye katika kweli.
111 Yoh 3:6,9 Mpenzi, usiuige ubaya, bali uige wema. Yeye atendaye mema ni wa Mungu, bali yeye atendaye mabaya hakumwona Mungu.
15Amani kwako. Rafiki zetu wakusalimu. Wasalimu hao rafiki zetu, kila mtu kwa jina lake.
5Yn 13:34;15:12,17;1 Yoh 2:7 Na sasa mama, nakuomba, si kwamba nakuandikia amri mpya, bali ile tuliyokuwa nayo tangu mwanzo, kwamba tupendane.
6Na huu ndio upendo: tuenende kwa kuzifuata amri zake. Hii ndiyo ile amri, kama mlivyosikia tangu mwanzo kwamba mwenende kwayo.
13Watoto wa dada yako aliye mteule, wakusalimu.
37Yer 31:35 Kitathibitika milele kama mwezi;Shahidi mwaminifu aliye mbinguni.
48Ebr 11:5 Ni mwanamume gani atakayeishi asione mauti,Atakayejiokoa nafsi yake na mkono wa kuzimu?
52Na ahimidiwe BWANA milele. Amina na Amina.
3Pashuri, Amaria, Malkiya;
7Meshulamu, Abiya, Miyamini;
25Rehumu, Hashabna, Maaseya;
2Eze 20:4 Mwanadamu, uujulishe Yerusalemu machukizo yake,
30Mit 30:20 Jinsi moyo wako ulivyokuwa dhaifu, asema Bwana MUNGU, ikiwa unafanya mambo hayo yote, kazi ya mwanamke mzinzi,
32Mke wa mtu, aziniye! Akaribishaye wageni badala ya mumewe!
13Mwa 9:6;Law 24:17;Mt 5:21;19:18;Mk 10:19;Lk 18:20;Rum 13:9;Yak 2:11 Usiue.
14Law 20:10;Mt 5:27;19:18;Mk 10:19;Lk 18:20;Rum 13:9;Yak 2:11 Usizini.
15Law 19:11;1 The 4:6;Mt 19:18;Mk 10:19;Lk 18:20;Rum 13:9 Usiibe.
8Nisalimieni Ampliato, mpenzi wangu katika Bwana.
24Neema ya Bwana wetu Yesu Kristo na iwe pamoja nanyi nyote. Amina.]
271 Tim 1:17;Yud 1:25 Ndiye Mungu mwenye hekima peke yake. Utukufu una yeye kwa Yesu Kristo, milele na milele. Amina.
1Kama ayala aioneavyo shauku mito ya maji.Vivyo hivyo nafsi yangu inakuonea shauku, Ee Mungu.
5Zab 56:3,11;Isa 50:10;Omb 3:24 Nafsi yangu, kwa nini kuinama,Na kufadhaika ndani yangu?Umtumainie Mungu;Kwa maana nitakuja kumsifu,Aliye afya ya uso wangu,Na Mungu wangu.
11Nafsi yangu, kwa nini kuinama,Na kufadhaika ndani yangu?Umtumaini Mungu;Kwa maana nitakuja kumsifu,Aliye afya ya uso wangu,Na Mungu wangu.