Pular para o conteúdo
Publicidade

Wimbo ulio Bora 2

10 Mpendwa wangu alinena, akaniambia,

Ondoka, mpenzi wangu, mzuri wangu, uje zako,

11 Maana tazama, majira ya baridi yamepita,

Masika imekwisha, imekwenda zake;

Veja também