Pular para o conteúdo
Publicidade

Wimbo ulio Bora 3

4 Mit 8:17;4:13;Rum 8:35,39Kitambo kidogo tu nilipoachana nao,

Nikamwona mpendwa wa nafsi yangu;

Nikamshika, nisimwache tena,

Hata nilipomleta nyumbani mwa mamangu,

Chumbani mwake aliyenizaa.

Veja também