5 Mit 5:19;Wim 1:13;Isa 66:10-12;1 Pet 2:2Matiti yako mawili ni kama wanapaa wawili,
Nyuma ya barakoa yako.
Ambao ni mapacha ya paa;
Wakilisha penye nyinyoro.
9 Isa 54:5;Yn 3:29;2 Kor 11:2;Ufu 19:7,8Umenishangaza moyo, dada yangu,
Bibi arusi, umenishangaza moyo,
Kwa mtupo mmoja wa macho yako,
Kwa mkufu mmoja wa shingo yako.