2 Zab 66:16;Dan 3:26Mimi nimeona vema kutangaza habari za ishara na maajabu, aliyonitendea Mungu aliye juu. 3 Dan 6:27;2:44Ishara zake ni kubwa kama nini! Na maajabu yake yana uweza kama nini! Ufalme wake ni ufalme wa milele; na mamlaka yake ni ya kizazi hata kizazi.
Publicidade