Publicidade

Salmos 133

Baraka za kuwa na umoja
Wimbo wa kupanda mlima.

1 Tazama, jinsi ilivyo vyema, na kupendeza,

Ndugu kuishi pamoja, kwa umoja.

2 Ni kama mafuta mazuri kichwani,

Yashukayo ndevuni, ndevu za Haruni,

Yashukayo mpaka upindo wa mavazi yake.

3 Ni kama umande wa Hermoni ushukao milimani pa Sayuni.

Maana huko ndiko BWANA alikoamuru baraka,

Naam, uzima hata milele.

Veja também

Publicidade
Bíblia Online Bíblia Online

Bíblia Online • Versão: 2026-06-16_06-50-08-