Mwito wa wote kuabudu
1 Haleluya.
Enyi mataifa yote, msifuni BWANA,
Enyi watu wote, mhimidini.
2 Maana fadhili zake kwetu sisi ni kuu,
Na uaminifu wa BWANA ni wa milele.
1 Haleluya.
Enyi mataifa yote, msifuni BWANA,
Enyi watu wote, mhimidini.
2 Maana fadhili zake kwetu sisi ni kuu,
Na uaminifu wa BWANA ni wa milele.