Pular para o conteúdo
Publicidade

Zaburi 134

Sifa ya usiku

Wimbo wa kupanda mlima.

1 Law 8:35;1 Nya 9:33;Zab 130:6;Lk 2:37 Njoni, enyi watumishi wote wa BWANA,

Mhimidini BWANA

Ninyi mnaohudumu usiku

Katika nyumba ya BWANA.

2 Zab 28:2;1 Tim 2:8 Painulieni patakatifu mikono yenu,

Na kumhimidi BWANA.

3 Zab 124:8;128:5 BWANA akubariki toka Sayuni,

Aliyeziumba mbingu na nchi.

Estes versículos te tocaram? Ore agora!

+581 estão orando agora.

Junte-se à corrente de oração.

Veja também