Thamani ya kuwa na bidii
1 Kum 15:10;Mit 11:18;Mt 10:42;2 Kor 9:6Tupa chakula chako juu ya maji;
Maana utakiona baada ya siku nyingi.
2 Zab 112:9;Lk 6:30;Mik 5:5;Efe 5:16Uwagawie sehemu watu saba, hata wanane;
Maana hujui baa gani litakalokuwa juu ya nchi.