19 Kol 3:16-17;Zab 33:2,3mkisemezana kwa zaburi na tenzi na nyimbo za rohoni, huku mkiimba na kumshangilia Bwana mioyoni mwenu; 20 Kol 3:17na kumshukuru Mungu Baba sikuzote kwa mambo yote, katika jina lake Bwana wetu Yesu Kristo.
Nyumba ya Kikristo
21 1 Pet 5:5Hali mnanyenyekeana katika kicho cha Kristo.