Pular para o conteúdo
Publicidade

Esta 4:15-17

SRUV Swahili Revised Union Version

15 Basi Esta akawatuma ili wamjibu Mordekai, 16 Yoe 1:14;Yon 3:4;Zab 34:22;Mit 29:25Nenda ukawakusanye Wayahudi wote waliopo hapa Susa, mkafunge kwa ajili yangu; msile wala kunywa muda wa siku tatu, usiku wala mchana, nami na wajakazi wangu tutafunga vile vile; kisha nitaingia kwa mfalme, kinyume cha sheria; nami nikiangamia, na niangamie. 17 Basi Mordekai akaenda zake, akafanya yote kama vile Esta alivyomwagiza.

Em outras traduções

  1. ONMM Edição Palavra Aberta: Escrituras Sagradas

    15 Kisha Esta alituma jibu hili kwa Mordekai: 16 "Nenda, wakusanye Wayahudi wote walio Shushani, nanyi mfunge kwa ajili yangu. Msile wala kunywa kwa siku tatu, usiku na mchana. Mimi na wajakazi wangu tutafunga kama mnavyofanya. Baada ya kufanyika hili, nitaenda kwa mfalme, hata ingawa ni kinyume cha sheria. Ikiwa ni kuangamia na niangamie."

    17 Kwa hiyo Mordekai alienda zake na kutekeleza maagizo yote ya Esta.

  2. ONEN Versão Contemporânea Aberta em Suaíli

    15 Kisha Esta alituma jibu hili kwa Mordekai: 16 "Nenda, kusanya pamoja Wayahudi wote walioko Shushani, nanyi mfunge kwa ajili yangu. Msile wala kunywa kwa siku tatu, usiku na mchana. Mimi na wajakazi wangu tutafunga kama mnavyofanya. Baada ya kufanyika hili, nitakwenda kwa mfalme, hata ingawa ni kinyume cha sheria. Ikiwa ni kuangamia na niangamie."

    17 Kwa hiyo Mordekai alikwenda zake na kutekeleza maagizo yote ya Esta.

Direitos das traduções citadas

Estes versículos te tocaram? Ore agora!

+581 estão orando agora.

Junte-se à corrente de oração.